Hivi ndivyo Serena Williams alivyosherehekea ushindi wake wa 700…
Serena Williams
ameendelea kuudhihirishia ulimwengu kwamba yeye ni bora zaidi katika
mchezo wa tenis duniani baada ya kusherehekea ushindi wake 700 katika
mchezo huo.
Mkali
huyo wa tenisi duniani upande wa wanawake, amesherekea ushindi huo wa
700 kwa kula keki na baadhi ya wadau na marafiki zake wa karibu kama
ishara ya kujipongeza.
Serena alimshinda Sabine Lisicki wa Ujerumani kwa seti 7-6, 1-6, 6-3 na kutinga fainali ya mashindano ya Miami Open.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment