Ungependa kuona pichaz za mapacha watatu walioolewa siku moja?
Hii
imewavutia wengi, ukiangalia picha na video za mapacha hawa watatu
utavutia na jinsi harusi yao ilivyoweza kuwa ya kuvutia wengi baada ya
kuifanya huku wakiwa wamefanana kila kitu.
Ukiachia kuwachanganya kwa sura kutokana
na kushindwa kuwatofautisha mapacha hawa, unaambiwa hata wapenzi wao
walikuwa wakishindwa kuwafafanisha na kujikuta wakiwachanganya mara kwa
mara.
Rafael,Rochele na Tagiane
raia wa Brazil ambao wameshare siku ya kuzaliwa waliamua pia
kushirikiana pamoja katika siku yao ya kufunga ndoa ambapo walionekana
kufanana kuanzia mavazi hadi muonekano wao.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment