Kim Kardashian: Kumbe ndoto za ustaa wake zilianzia hapa
Hiyo ni video ya mwaka 1994, akiwa na
miaka 13 tu alisema anatamani sana kuja kuwa mtu maarufu, ndicho
alichokuwa akitarajia siku moja kitokee kwake.
Katika video hiyo Kim alionekana akiwa na ndugu zake, Kourtney, Rob, Kris Jenner pamoja na Bruce.
Hii ni video ya Kim mwaka huo mtu wangu! Icheki hapa.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment