
Ni
mshindi wa Big brother Africa 2014 Idris Sultan ambae anaendeleza
matunda ya ushindi wake wa BBA na sasa kajipatia nyumba yake ya kuishi
ambayo pamoja na mengine ina sebule mbili na anatarajia kuanza kuishi
kwenye nyumba hii kuanzia Jumapili January 25 2015.

Nyumba ipo Mbezi Beach Dar es salaam.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment