Thursday, August 11, 2016

MFEREJI WA MAJI TAKA MGANDINI NI KERO


Mfereji wa Maji taka nyuma ya soko la Mgandini Tanga ukiwa umejaa takatataka na kuzuia maji kutembea na kutoa harufu kali na kuwa kero kwa wafanyabiashara wa mama lishe walio kandokando ya mfereji huo.
Mfereji huo maji yake yanatokea viwandani Gofu umekuwa kero hasa kwa kile kinachodaiwa kuwa maji yake huenda kuwa yako na kemikali za viwandani jambo ambalo wengi waliozungumza na tangakumekucha kuwa sio kweli na yako salama ila kero inabaki kuwa maji hayo hayana njia ya uelekeo na kusababisha mazalia ya mbu na kutoa harufu kali.



Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment