Wakazi wa kisiwa cha Fundo Wilaya ya Kaskazini Pemba wakishusha
madumu ya maji kutoka katika mtumbwi baada ya eneo lao kukumbwa na uhaba wa
maji kufuatia mvua kuacha kunyesha na kusababisha visima kukauka maji na hivyo
kulazimika kuyafuata mji wa Wete.
No comments:
Post a Comment