Kim Kardashian aanza vyema mwaka 2015,ataonekana katika jarida la Love Magazine
Wakati mwaka 2005 ukiwa umeanza mwanamitindo maarufu Marekani Kim Kardashian amepost picha kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ukimuonyesha akiwa amelipamba jarida la Love Magazine la nchini humo.
Wakati jarida hilo likitarajiwa kutoka mwezi ujao Kim ameonyesha furaha yake ya kufanya kazi na mpigapicha maarufu Steven Klein na kusema analisubiri kwa hamu jarida hilo ambapo pia mbali na yeye ataonekana mdogo wake Kendall Jenner pamoja na mwanamitindo wa Uingereza Cara Delevingne.
Kim aliandika ‘Working with @stevenkleinstudio was so crazy for me! We shot for 3 days straight at a motel in LA. One night til 4am. @kegrand dressed me in all vintage and custom @Prada and bleached my brows! Can’t wait for u to see 30+ page spread with Steven Klein for Love Magazine’
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,kumekucha blog
No comments:
Post a Comment