Tuesday, January 6, 2015

MGOMO WA WALIMU KENYA WAINGIA SURA MPYA

Huenda ulipitwa na hii ya mgomo wa Walimu Kenya, itazame hapa hali ilivyokuwa (Video)

Huenda ulipitwa na hii ya mgomo wa Walimu Kenya, itazame hapa hali ilivyokuwa (Video)

mgomo
Moja ya story zilizochukua headlines kutoka Kenya siku ya leo January 06  ni ishu ya mgomo wa walimu wa shule za Serikali wakidai nyongeza ya mshahara.
Taarifa ya Kituo cha Citizen imebaini kuwa wanafunzi wengi walioenda shuleni walilazimika kurudi nyumbani kutokana na kutokuwepo kwa walimu.
Mgomo huu umeanza siku ya kwanza ambapo shule zilikuwa zinafungua baada ya mazungumzo ya Serikali na Chama cha Walimu kutofikia muafaka.

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, kumekucha blog

No comments:

Post a Comment