Maelfu wafurika Hiroshima
Maelfu ya watu katika mji wa
Hiroshima nchini Japan amehudhuria sherehe za kila mwaka kuadhimisha
kaharibiwa kwa mji huo miaka 71 iliyopita wakati wa shambulizi la kwanza
la bomu la nuklia.
Waziri mkuu wa Japana Shinzo Abe ameahidi kujitolea kuhakisha kutokuwepo ulimwengu wenye silaha za nuklia.
Alipongeza matamshi ya rais wa marekani Barack Obama ambaye mapema mwaka huu alikuwa rais wa kwanza wa marekani kuzuru mji wa Hiroshima.
No comments:
Post a Comment