Mwendesha mkokoteni akipita barabara
ya Mabawa Tanga akiwa amesheheni mapipa matupu ya kuhifadhia maji na kupelekwa sokoni jambo ambalo ni hatari kwa watumiaji wa vyombo vya moto na wapita kwa miguu endapo mapipa hayo yatadondoka , pipa moja huuzwa 50,000.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment