Kujiandaa kwa Siku ya Eid el Hajj
Waumini wengi wa dini ya Kiislamu maeneo mengi duniani wameanza kujiandaa kusherehekea sikukuu ya Eid Ul Fitr.
Sikukuu hii ambayo inatarajiwa kusherehekewa siku ya Jumatatu Duniani kote wazazi na walezi wamekuwa katika hekaheka ya kuwanunulia nguo watoto wao pamoja na kujiandaa na vyakula ili kuweza kusherehekewa kwa furaha.
Mjini Tanga hekaheka zimekuwa nyingi Gulio la Tangamano na barabara ya 13 ambako ndio kitovu kikuu cha biashara ya nguo.
No comments:
Post a Comment