NI NANI JINI MAHABA (AASHIQ DJINN )
jini mahaba si jini maalum kusema huyu ni mahaba,
mfano sisi binaadamu hatuna kabila maalumu kwamba hawa ni watu tabia mbaya, ila tabia mbaya huwa kwa mtu mwenyewe ni kwa kabila.
pia jini mahaba si jini maalum kuwa huyu ni mahaba ila majini wote wao ni wahuni miongoni mwao ambao husumbua maisha ya wanadamu.
DALILI ZA KUJUA UNA JINI MAHABA
1) Kuwa na hasira zisio na sababu
2) kutokuwa hamu ya jimai
3) kupata maumivu na michubuko katika jimai
4) kuchoka sana wakati wa jimai.
5) kumchukia mwenza wako pindi anapo kuwa karibu na wewe.
huyu ni JINI SUBIANI.
6) kukosa hedhi
7) kupata hedhi kwa miezi miwili hadi mitatu
8) kuumwa chango au ngiri mara kwa mara
9) kushindwa kumwaga manii ufanyapo jimai
10) kuingia na kumwaga manii haraka sana
huyu ni jinni UMMU MULDAMI.
11) kupoteza ladha ya jimai katikati ya tendo
12) kuishiwa nguvu haraka
13) kupatwa maumivu makali ya tumbo wakati ukifanya jimai
14) Kuto kuona ladha yeyote na mwanamke kushindwa kutoa ute na kumpa maumivu
huyu ni JINI JALWUSH
15) Kuto kubeba mimba
16) Kujaa maziwa kama mjamzito
huyu ni UMMU SUBIANI
17) Kuota Unapaa
18) Kuharibika Mimba kaabla ya Miezi Minne
19) Chunus zisizo SIKIA DAWA
20) Kuchukia kutongozwa na kuto hitaji ndoa
huyu ni JINI TWAYR {qarnail}
21) Kuto tosheka na jimai
huyu ni MAYMUNA
22) Mtoto kumuogopa mama yake
23) Kuota unafanya mapenzi
24) Mama kuto toa maziwa akijifungua
25) Mtoto kupatwa degedege.
huyu ni MAKATA WA MAKATANI.
dalili ni nyingi kulingana na aina ya jini anaye kusumbua.
mgblog
No comments:
Post a Comment