Wanachama hao ambao wengi wao ni Wajasiriamali wa kazi za mikono wamekuwa wakifaidikika na Umoja huo ambao wengi wamekuwa wakiendesha biashara kwa kutafuta masoko katika soko la pamoja na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
Umoja huo wa Vikoba Group moja ya shughuli zake kwa jamii ni kutoa misaada wakati wa majanga na kero kwa watu ambao mazingira yao ni magumu wakiwemo wazee na watoto.
Mkufunzi wa Vikoba, Monica Mushiro akwafundisha wanachama wa Vikoba Group cha Magaoni B kata ya Mabawa Tanga.
No comments:
Post a Comment