Roboti yafanya upasuaji wa macho mara ya kwanza duniani
Kundi la madaktari kutoka hospitalia ya John Radclife nchini Uingereza, walitumia roboti hiyo kutoa ngozi nyembamba kutoka jicho la mgonjwa.
Mgonjwa kwa jina Bill Beaver mwenye umri wa miaka 70 aliyefanyiwa upasuaji huo sasa anasema anahisi vyema.
Madaktari wana matumaini kuwa mfumo huo utasaidia katika upasuaji unaohitaji umakini zaidi.
No comments:
Post a Comment