Saturday, June 3, 2017

MAREKANI YATOA ONYO KWA CHINA

China ni moja ya nchi zinazodai kumiliki maeneo ya kusini mwa bahari ya ChinaMarekanai hautakubali China kuweka wanajeshi kwenye visiwa ilivyojenga Kusini mwa bahari ya China, waziri wa ulinzi wa Merekani James Mattis ameonya.
Akiongea katika mkutano wa kiusalama huko Singapore, Bwana Mattis amesema kwamba hatua ya Uchina ya kutengeneza visiwa bandia na kuongeza uwepo wake wa kijeshi katika bahari ya kimataifa unahatarisha amani katika eneo hilo.
BBC

No comments:

Post a Comment