Friday, June 2, 2017

MAONYESHO YA TANO YA KIMATAIFA TANGA



Mjasiriamali wa mapambo kwa wanawake kutoka Handeni Mkoani Tanga, Fatma Suleiman akimalizia kudunga moja ya mapambo yake katika banda la Maonyesgo ya tano ya Kimataifa yanayofanyika Mwahako jijini Tanga.







Wanafunzi wa shule za msingi Mwahako na Mwakizaro Tanga wakiangalia filamu ya wanyama katika banda la Maonyesho la Maliasili na Utalii katika maonyesho ya tano ya Kimataifa yanayofanyika Mkwahako Tanga.





No comments:

Post a Comment