Monday, January 5, 2015

JAY Z NA BEYONCE WALA BATA THAILAND

Jay Z na Beyonce wameipenda Thailand… Hizi ni picha zao nyingine wakienjoy

Jay Z na Beyonce wameipenda Thailand… Hizi ni picha zao nyingine wakienjoy

Jigga
Jay Z na Beyonce wameendelea ‘kula bata’ ikiwa ni mwendelezo wa kusherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya Thailand.
Kila siku ndani ya mwezi December mwaka 2014 ilikuwa na story yao, huo ni mwezi ambao walikuwa wakijiachia kwa ajili ya mapumziko, tarehe 4 December walikuwa katika visiwa vyenye baridi zaidi duniani, Iceland wakienjoy birthday ya Jay Z, baada ya hapo tumesikia sana kuhusu uwepo wao Thailand ambako wamekaa kwa zaidi ya wiki moja sasa.
Picha za mwisho zinawaonyesha wakitembelea maeneo ya Makumbusho, wanaonekana kufurahia wakati wote wa matembezi yao Thailand.
bey4
Juzi jumamosi wawili hao waliamua  kutembelea mapango ya kitalii ya kihistoria ya Cambodia yaliyopo nchini humo.
bey2
bey1
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog

No comments:

Post a Comment