Rekodi hii ya Rolls Royce 2014 hawakuwahi kuivunja kwa miaka 111 iliyopita…
Ni kampuni chache zilizoweza kudumu kwa
kipindi kirefu kama hicho na bado zikawa na nguvu kubwa ya uzalishaji na
kutawala sokoni pia.
Kampuni hii ilianza rasmi mwaka 1904, Uingereza baadaye wakaanzisha uzalishaji wa magari hayo Marekani.
Rekodi ya mauzo ya magari hayo mwaka
2014 imekuwa ya pekee, wameuza magari 4,063 huku uuzwaji wa magari hayo
ukitegemea soko kubwa la Abu Dhabi, UK, Marekani na China.
Gari hizi tumeziona sana katika video za
muziki hasa za wasanii wa Marekani, unaambiwa hizi ni moja ya gari
zilizokaa kistarehe na za bei juu zaidi duniani kwa sasa.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,kumekuchablog
No comments:
Post a Comment