Nick Cannon na Mariah Carey huenda hii ikawa mwisho
Story iliyoanza kuenea mitandaoni kuhusu wanandoa hao toka jana iko hivi, Nick Cannon ameandika talaka na yuko kwenye taratibu za kuachana na aliyekuwa mkewe, Mariah Carey.
Mariah Carey huenda hii ikamuumiza zaidi, aliwahi kusema kuwa hapendi kuona watoto wao mapacha Monroe na Morrocan wanaishi maisha ya kulelewa na mzazi mmoja, japo Nick alionyesha nia ya kuendelea kuwahudumia kwa kila kitu.
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment