Sunday, January 4, 2015

SELENA GOMESHANA HABARI TENA NA BIEBER




Selena Gomez hana habari na Justin Bieber tena…ala ‘Goodtime’ na mwanaume mwingine Dubai

gomzSelana Gomez amekua Busy na watu wake wa karibu ikiwemo familia yake wakati wa sikukuu za Krismas na mwaka mpya, ili mradi tu aweze kumsahau mpenzi wake Justin Bieber ingawa bado moyo wake unaonyesha dhati kumpenda.
Katika ziara yake Dubai Selana ameonekana kuwa karibu na mwanaume mmoja kwa jina la Harith Bukhash na kuspend naye muda mwingi huku akionyesha dhahiri kumsahaulisha machungu ya kuachana na mpenzi wake Bieber
selMwanaume huyo alionyesha ukaribu zaidi kwa Selena na kumfanya wakati wote kuwa na furaha iliyoonyesha ni jinsi gani anatakiwa kufanyiwa kama malkia.
“Alikua na wakati mzuri sana Dubai na alikua karibu sana na Harith, imeonyesha Selana ni jinsi gani anatakiwa kufanyiwa kama malkia,chanzo cha habari kilieleza.
selenaaaNi halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,kumekucha blog

No comments:

Post a Comment