Nakusogezea na hii jinsi Torres alivyotambulishwa Atletico Madrid.
Imetokea hiyo kwa Fernando Torres ambaye ametambulishwa leo January 4 2014 mbele ya mashabiki wa timu ya Atleticio Madrid baada ya kukamilika kwa usajili wake wa mkopo wa miezi 18 toka AC Milan.
Mashabiki wapatao 40,000/= waliujaza uwanja wa nyumbani wa Atletico Madrid maarufu kama Estadio Vicente Calderon wakiwa wamevalia jezi za Atletico Madrid na wengine wakiwa na jezi za timu za zamani za mshambuliaji huyo.
Mashabiki
40,000 wakiwa wameujaza uwanja wa Vicente Calderon kumshuhudia Fernando
Torres akitambulishwa baada ya kukamilisha usajili .
No comments:
Post a Comment