Wednesday, October 14, 2015

AMKA NA MAGAZETI NA TANGAKUMEKUCHABLOG

Kila siku asubuhi na mapema, Kituo Cha Elimu Cha Candle Education Centre Tanga, kimekuwa kikifanya jitihada za kuhakikisha wewe shabiki na mpenzi mkubwa wa Tangakumekuchablog inakupa kurasa za magazeti mwanzo mwisho. Kitupo Cha Candle Education Centre ndio kituo pekee kinachoongoza kufaulisha wanafunzi kuanzia kidato cha pili hadi cha sita na wale wanaojiendeleza kielimu. Candle kinatoa kozi mbalimbali za kielimu na kiufunzi ukiwemo umeme na Copmuter. Wapo Tanga mkabala na Bank ya CRDB simu 0715 772746



No comments:

Post a Comment