Tuesday, October 13, 2015

LEMBELI NA MUKYA WANUSURIKA KIFO BAADA YA GARI LAO KUPINDUKA

 
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kahama kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh James Lembeli na Joyce Mukya wanusurika kifo mara baada ya gari waliokuwa wakitumia kusafiria kutoka Simanjiro kuelekea Arusha kupata ajali na kupinduka.Taarifa za awali zinasema kuwa hakuna hawakuumia


CHANZO: LUKAZA BLOG

No comments:

Post a Comment