Monday, October 12, 2015

MIAKA 40 YA NDOA YA BILL CLINTON NA HILLARY

Miaka 40 ya ndoa ya Bill Clinton na mkewe Hillary..kila mmoja na ujumbe wake kwa mwenzake!!

Jana Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton na mkewe Hillary Clinton waliazimisha miaka 40 tangu walipofunga ndoa yao.
Katika kurasa zao za mitandao ya kijamii kila mmoja alionyesha furaha yake kwa mwenzake na kuamua kuandikiana ujumbe kila mmoja akimfikishia mwenzake.
Bill Clinton alianza kwa kuandika Seems like Yesterday akimaanisha maisha yao ya ndoa ni kama wameanza jana huku mkewe akimwambia anashukuru miaka 40 ya ndoa yao kukutana na mwanaume mwenye mvuto katika maisha yake.
Hivi ndivyo kila mmoja alivyomwandikia mwenzake…
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment