Monday, October 12, 2015

SAM ALLARDYCE AREJEA ENGLAND


Kocha Sam Allardyce ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Manchester Airport  akiwa tayari kurejea Ligi Kuu england.

Allardyce ,60, maarufu kama Big Sam ametua kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha Sunderland ambacho kilishaanza mazungumzo naye.

Sunderland ilimfungashia virago kocha wake kuonekana hana mwenendo mzuri.

Big Sam alilazimika kuahirisha mapumziko yake nchini Hispania na kurejea nchini England kwa ajili ya kazi hiyo.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment