BREAKING NEWS : MWENYEKITI MWENZA WA UKAWA EMANNUEL MAKAIDI AFARIKI DUNIA
-Amefariki kwa shinikizo la damu
TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI SASA NI ALIYEKUA MWENYEKITI MWENZA WA UKAWA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA NLD,AMEEAGA DUNIA HIVI PUNDE.TAARIFA ZAIDI JUU YA KIFO CHAKE NA MENGINEYO ZITAKUJIA HIVI PUNDE HAPAHAPA
No comments:
Post a Comment