Wafanyabiashara soko la Mlango wa Chuma Tanga, Abdi Singano (kulia) na Abdalla Issa (kushoto) wakitandaza maembe kusubiri wateja baada ya kukosa soko maalumu la uhakika la kuuzia matunda yao na kulalamika misimu ya maembe ifikapo huingia hasara kwa kuwaozea mashambani.
Tuesday, January 5, 2016
BIASHARA MAEMBE, SOKO LA MLANGO WA CHUMA TANGA
Mfanyabiashara wa maembe soko la Mlango wa Chuma Masiwani
Tanga , Abdi Singano, akitandaza maembe aina ya Eple, wafanyabiashara hao
wamekuwa wakilalamika kukosa soko la uhakika la kuuzia maembe yao na kudai
ifikapo misimu ya maembe huingia hasara kwa kuwaozea mashambani.
Wafanyabiashara soko la Mlango wa Chuma Tanga, Abdi Singano (kulia) na Abdalla Issa (kushoto) wakitandaza maembe kusubiri wateja baada ya kukosa soko maalumu la uhakika la kuuzia matunda yao na kulalamika misimu ya maembe ifikapo huingia hasara kwa kuwaozea mashambani.
Wafanyabiashara soko la Mlango wa Chuma Tanga, Abdi Singano (kulia) na Abdalla Issa (kushoto) wakitandaza maembe kusubiri wateja baada ya kukosa soko maalumu la uhakika la kuuzia matunda yao na kulalamika misimu ya maembe ifikapo huingia hasara kwa kuwaozea mashambani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment