Wafanyakazi wa kiwanda cha ubanguaji korocho cha Demros cha mjini Tanga, Hamza Vagi (mbele) na Jaika Said (nyuma) wakibangua korosho, kiwanda hicho kinamilikiwa na umoja wa wanawake Tanga na kutoa ajira kwa zaidi ya vijana 50 wanawake na wanaume
Friday, January 8, 2016
JICHO LA TANGAKUMEKUCHA MTAANI
Mfanyakazi kiwanda cha ubanguaji korosho kinachomilikiwa
na Umoja wa Wanawake cha Demros cha Tanga, Hamza Vagi, akibangua korosho,
vijana wengi wamekuwa wakikaa maskani kupiga soga ambalo halina maana na kuacha
kujiajiri na kuweza kujipatia kipato kutokana na jasho lao.
Wafanyakazi wa kiwanda cha ubanguaji korocho cha Demros cha mjini Tanga, Hamza Vagi (mbele) na Jaika Said (nyuma) wakibangua korosho, kiwanda hicho kinamilikiwa na umoja wa wanawake Tanga na kutoa ajira kwa zaidi ya vijana 50 wanawake na wanaume
Wafanyakazi wa kiwanda cha ubanguaji korocho cha Demros cha mjini Tanga, Hamza Vagi (mbele) na Jaika Said (nyuma) wakibangua korosho, kiwanda hicho kinamilikiwa na umoja wa wanawake Tanga na kutoa ajira kwa zaidi ya vijana 50 wanawake na wanaume
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment