TANGA KUMEKUCHA
Tuesday, January 19, 2016
FOLENI YA KUNUNUA UWONO BANDARI YA KIGOMBE TANGA
Wachuuzi wa samaki bandari ya Kigombe Tanga wakiwa katika foleni ya kununua samaki ndani ya maji, kutokana na uhaba wa samaki wachuuzi wengi hulazimika kuyafuata madau katika maji ili kuweza kupata samaki.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment