Kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa, hii ndio list ya mastaa waliosajiliwa Uingereza …
AFC Bournemouth
- Juan Iturbe kutoka AS Roma kwa mkopo
- Benik Afobe kutoka Wolves. thamani £12.1m
- Lewis Grabban kutoka Norwich City (ada siri)
Arsenal
- Mohamed Elneny kutoka FC Basel. ada £5.5m
Everton
- Matty Fouldes kutoka Bury.
- Shani Tarashaj kutoka GC Zurich.
- Demarai Gray kutoka Birmingham City.
- Marko Grujic kutoka Red Star Belgrade.
- Kevin Stewart kutoka Swindon Town. amerudi alipokuwa kwa mkopo
- Tiago Ilori kutoka Aston Villa amerudi alipokuwa kwa mkopo
- Steven Caulker kutoka QPR kwa mkopo
Manchester United
- Adnan Januzaj kutoka Borussia Dortmund. amerudishwa alikokuwa kwa mkopo
Norwich City
- Matt Jarvis kutoka West Ham United.
- Ivo Pinto kutoka Dinamo Zagreb.
- Ben Godfrey kutoka York City.
- Timm Klose kutoka Wolfsburg.
- Steven Naismith kutoka Everton.
Southampton
- Charlie Austin kutoka QPR.
- Jan Kirchhoff kutoka Bayern Munich.
- Dame N’Doye kutoka Trabzonspor. kwa mkopo
- Nordin Amrabat kutoka Malaga.
- Costel Pantilimon kutoka Sunderland.
No comments:
Post a Comment