Tiwa Savage anaianza January 2015 kwa kushare na sisi hii goodnews !!
Muimbaji Tiwa Savage ametueleza kuhusu furaha aliyonayo pamoja na mume wake Tunji TJ Balogun, ameshare na sisi picha aliyopost kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kwa sasa yeye ni mama kijacho; “2015….Just the 3 of US…❤️ #AllGloryToGod” @officialtiwasavage
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog
No comments:
Post a Comment