Ajitangaza twitter baada ya kukosa kazi
Ujumbe uliowekwa
kwenye mtandao wa twitter nchini Afrika Kusini unaonekana kupata
umaarufu wakati nchi hiyo inapokumbwa na viwango vikubwa vya ukosefu wa
ajira.
Picha ya mwanafunzi aliyefuzu chuo Anthea Malwandla
imesambazwa kwa zaidi ya mara 1500 licha na picha hiyo kukosa
kusababisha apate ajira.Anasema kuwa alifuzu kutoka chuo cha teknolojia cha Vaal na amekuwa akitafuta kazi kwa mwaka mmoja sasa.
Wiki iliyopita takwimu zilionyesha kuwa viwango vya ukosefu wa ajira ni asilimia 26.7, ikiwa ni asimia 12 zaidi mwaka huu.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment