Takataka zikiwa zimezizunguka makazi ya wa na nyumba ya Ibada
mtaa wa Magaoni B kata ya Mikanjuni Tanga na kuhatarisha afya za wakazi wa eno
hilo na usumbufu kwa wapita njia.
Uwekaji wa madampo kienyeji umekuwa kero kwa maeneo mbalimbali jijini Tanga na wanaharakati wa mazingira wamedai kuwepo kwa hali hiyo ile dhamira ya Serikali kutokomeza malaria wamedai itakuwa ndoto.
Katika mtaa huo wamedai kuwa takataka hizo zimekuwa zikirundikana kwa muda mrefu bila wahusika kuzisomba.
No comments:
Post a Comment