TOPE NDANI SOKO , NGOGWE ZAPANGWA KWENYE MADIMBWI YA MAJI NA TOPE
Wafanyabiashara
wa Ngogwe ndani ya soko la Mgandini
Tanga wakipanga biashara zao chini ya madimbwi ya maji yaliyotuwama na kufanya
tope na kuwa kero kwa wateja na wapiti njia.
Kero hiyo imekuwa ada kila zinyeshapo mvua na wateja kulalamika hivyo kuomba uongozi wa soko kuchukua hatua za dharura ili kuweka mazingira ya usafi na kuepuka magonjwa ya miripuko ukiwemo wa matumbo.
No comments:
Post a Comment