Friday, October 2, 2015

KIPUTE UWANJANI LEO, UINGEREZA, SPAIN NA TZ

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania ya mechi za October 3 na 4 ipo hapa mtu wangu..

Najua  ungependa kufahamu ratiba ya mechi za Ligi Kuu mbalimbali ambazo zitachezwa Leo   Jumamosi ya October 3 na Jumapili ya October 4. Naomba nikusogezee karibu yako ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania, hii ni ratiba ya mechi za Ligi hizo zitakazochezwa  Jumamosi na Jumapili.
5
Hii ni ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara weekend hii ila zilizoandikwa kwa wino wa rangi nyekundu zimehairishwa
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Uingereza October 3
1
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Uingereza October 3 kwa saa za Afrika Mashariki
  • Crystal Palace Vs West Brom saa 14:45
  • Aston Villa Vs Stoke saa 17:00
  • Bournemouth Vs Watford saa 17:00
  • Man City Vs Newcastle saa 17:00
  • Norwich Vs Leicester saa 17:00
  • Sunderland Vs West Ham saa 17:00
  • Chelsea Vs Southampton saa 19:30
Hii ni ratiba ya mechi za Jumapili ya October 4
2
Hii ni ratiba ya mechi za Jumapili ya October 4 kwa saa za Afrika Mashariki
  • Everton Vs Liverpool saa 15:30
  • Arsenal Vs Man Utd saa 18:00
  • Swansea Vs Tottenham saa 18:00
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Hispania ya mechi za Jumamosi ya October 3
3
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Hispania ya mechi za Jumamosi ya October 3 Saa za Afrika Mashariki
  • Sevilla Vs Barcelona saa 17:00
  • Granada CF Vs Deportivo de La Coruña Saa 19:15
  • Espanyol Vs Sporting de Gijón Saa 21:30
  • Las Palmas Vs Eibar Saa 23:00
  • Málaga Vs Real Sociedad Saa 23:05
Hii ni ratiba ya mechi za Jumapili ya October 4
4
Hii ni ratiba ya mechi za Jumapili ya October 4 kwa saa za Afrika Mashariki
  • Rayo Vallecano Vs Real Betis 13:00
  • Ath Bilbao Vs Valencia 17:00
  • Levante Vs Villarreal Saa 19:15
  • Atl Madrid Vs Real Madrid Saa 21:30
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment