Friday, October 9, 2015

KONGAMANO LA ELIMU YA URAIA NA HAKI YA KUPIGA KURA LAFANA, TANGA

  Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Tanga School, Jofreys Koseji, akizungumza katika kongamano la Elimu ya Kiraia na haki ya  mpiga kura lililoitishwa na Shirika lisilo la Kiserikali  la Restless Development Organasition (RDO) lililofanyika leo shuleni hapo.


 Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Tanga School, Maria Galagi, akizungumza katika kongamano la Elimu ya Kiraia na haki ya mpiga kura lililoitishwa na Asasi isiyo ya Kiserikali ya Restless Development Organation (RDO)  na kufanyika leo shuleni hapo .


Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Tanga School, Silas Kitima, akizungumza katika kongamano la Elimu ya Kiraia na haki ya mpiga kura lililoitishwa na Asasi isiyo ya Kiserikali ya Restless Development Organasition (RDO)  na kufanyika leo shuleni hapo .

No comments:

Post a Comment