Monday, October 5, 2015

MAYWEATHER AZIDI KUTUMBUA MAPESA YA ALIYOMDUNDA MANNY QAPACIAUO

Mayweather, Justin Bieber wakiyafurahia maisha yao ufukweni..

Kila wakati bondia Floyd Mayweather humkosi kwenye headlines zinazohusu maisha yake ndani na nje ya kipaji chake…mara kwa mara amekuwa akizungumziwa kutokana nanutajiri alionao huku akiwa na matumizi yaliyopitiliza ya pesa zake.
Safari hii ameonekana akila bata katika fukwe za Bora Bora pamoja na rafiki yake mkubwa mwanamuzini Justin Bieber.
Katika ukurasa wake wa @Instagram Mayweather ametupia clip ya video ikiwaonyesha akiwa na Bieber wamesimama huku wanahesabu dola na kuendelea kufurahia maisha yao.
bataa

bata2

bata3

bata4
 Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment