Thursday, October 1, 2015

NI AJABU NA KWELI

Nyani wazima kituo cha redio Zimbabwe

Nyani wasumbufu katika kijiji cha Zvishane mjini Zimbabwe wamedaiwa kukizama kituo kimoja cha cha redio.
Mkuu wa kituo cha cha YA FM ,Munyaradzi Hwengwere, ameliambia gazeti la la Serikali Chonicle kwamba kundi la nyani lilikula nyaya za fibre optic katika radio hiyo wakati wa kipindi cha asubuhi na kukilazimu kukosa kwenda hewani kwa saa moja.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment