Kambi ya upinzani nchini Brazil imesema kuwa hatua hiyo ya mahakama inawasafishia njia ya kuanza kuchukua hatua za kisheria kumuondoa madarakani Rais wao Rousseff.
Serikali ya Brazil ilishitakiwa kwa tuhuza za kuazima fedha kinyume cha sheria kutoka benki kuu,na hivyo kusababisha upungufu wa fedha za uendeshaji Serikali kuu.
Hata hivyo Serikali ya Brazil imesema kuwa itakata rufaa kupinga uamuzi huo wa mahakama.
Chanzo BBC
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment