Wenyeviti wa Serikali za mitaa
halmashauri ya jiji la Tanga wakiwa katika kongamano la Kamati ya Baraza la
Watumiaji huduma (Sumatra) kongamano lililofanyika juzi.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Makorora halmashauri ya jiji la Tanga, Bakari Abdalla, akielezea jiji hilo ambalo baadhi ya maeneo muhimu kutokuwa na alama za barabarani ikiwemo maeneo ya shule na hospitali kongamano lililofanyika juzi.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, mtaa wa Kwakaheza halmashauri ya jiji la Tanga, Aziza Ramadhani, akitoa malalamiko juu ya madhila ya wanafunzi wanayopata katika daladala waendapo shule kongamano lililoandaliwa na Kamati ya Baraza la Watumiaji huduma Sumatra (CCC) lililofanyika juzi.

No comments:
Post a Comment