Tuesday, May 10, 2016

LILIDAIWA KUWA BOMU LILITUPWA HAPA


Wakazi wa Makorora  Daraja la Mabovu Tanga, wakipitia eneo ambalo mtu anaekadiriwa kuwa na miaka 30 alirusha mabomu la mkono na kuacha begi  ambalo limedaiwa kuwa lilikuwa na vifaa vya miripuko na wananchi wenye hasira kali walimshambulia na kufariki wakati akipelekwa hospitali ya Bombo usiku wa juzi.
Tkio hilo lilirusha taharuki na kukimbiza umati wa watu eneo hilo na kila mmoja kukimbilia nyumbani kwake kujifungia ndani kusalimisha uhai wake.






No comments:

Post a Comment