Tuesday, May 10, 2016

VIRUSI VYA UKIMWI HAVINA MTOTO , KIJANA WALA MZEE, PIMA AFYA YAKO



Mkazi wa Kerenge Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, Mwajuma Petro akipima Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi wakati wa Maadhimisho Siku ya Mama Duniani kutoka Mshauri Nasaha, Merry Lukindo.
Jamii kubwa ya wazee au wa makamo wanadaiwa kuwa wamekuwa hawaamini kama Virisi vya Ukimwi vinaweza kuwashambulia kwa namna moja au nyengine ikiwemo kuwahudumia wajukuu wao ambapo jamii kubwa watoto wao huwapeleka kwa kulelewa na bibi zao.




 Mkazi wa Manundu Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, Habiba Salim, akipima maambukizi ya Virusi vya Ukimwi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mama Dunia na kupimwa na Mshauri Nasaha, Mery Lukindo.


No comments:

Post a Comment