Wanasayansi waunda ngozi kuziba uzee
Wanasayansi wanadai kuunda aina ya ngozi inayoweza kubandikwa juu ya mwili wa mtu kupunguza muonekano wa mikunjo ya ngozi mwilini na ngozi inayopwaya chini ya macho kutokana na uzee.Ni aina ya maji maji mtu anayopaka mwilini baadae inaachwa kukauka ambapo baadaye huishia kuwa ngozi nyembamba iliyo mithili ya 'ngozi ya ujana, Nature Materials..Kwa sasa inafanyiwa majaribio ya kuuzwa kama bidhaa ya urembo.
Lakini wanasayansi Marekani wanasema "ngozi ya pili " huenda baadaye ikaweza kutumika kutengeneza dawa na kinga dhdi ya jua.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment