Safari hii Chris ametumia na njia hii kuomba msamaha kwa Karrueche …
Baada ya habari zao kuenea kwenye
Mitandao ya kijamii kuhusu kuachana kwao na baadaye kuja kuombana
msamaha huku mashabiki wakionekana kukerwa na kuweka mambo yao binafsi
kwenye mitandao ya kijamii, katunga wimbo.
Tulisikia kuhusu Chris Brown kumuomba msamaha mpenzi wake Karrueche kwa mara nyingine tena, lakini hii naona kaongeza msisitizo wa kumaanisha alichokisema kwa kutumia wimbo wa ‘Waiting’, ambao mitandao inasema mashabiki walioshare na kucomment wameuelewa kwamba Chris anazungumzia Karrueche.
Unaweza kutumia dakika 3 kuisikiliza na wewe kutoa maoni yako mtu wangu.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog
No comments:
Post a Comment