Ni Diamond Platnumz Mombasa usiku wa kuamkia leo akina Nyota Ndogo kwenye ‘Mashariki Festival’
Desemba 12 ni siku ambayo Kenya inasherehekea maadhimisho miaka 51, ya Sikukuu ya Jamhuri, sherehe hizo zinafanyika katika Uwanja wa Nyayo na zinagegemewa kuwa fupi tofauti na miaka mingine.
Mastaa walifanya show kwenye
Mashariki Festival ambayo hufanyika usiku huo Mombasa, Kenya
huku Diamond Platnumz alikuwa mmoja kati ya wasanii hao ambae amealikwa.
Hizi ni picha alizoweka msanii huyo akiwa Mombasa jan, msafara wa mapokezi yake ulisindikizwa na gari za Polisi.
No comments:
Post a Comment