Majibu ya Aunt Ezekiel baada ya kuulizwa kuhusu Diamond na Zari pamoja na ujauzito.
Ishu ya pili ni Diamond kuonekana na Zari kwenye Tuzo za Channel O Afrika Kusini siku ya Jumamosi, Aunt Ezekiel amesema hajui chochote kuhusiana na masuala hayo na kusema hawezi kuzungumzia masuala ya mtu binafsi.
Soudy Brown akamuuliza swali jingine
ambalo linahusiana na namna alivyoonekana kama mjamzito kwenye show ya
msanii Mirror siku ya jana Maisha Club ambalo pia Aunty amesema hana
ujauzito ila ni gauni alilovaa linamuonyesha hivyo.
No comments:
Post a Comment