MKE WA MTU ANASWA AKIJIUZA KUSAKA FEDHA ZA KRISMASI
Makamanda
wa Polisi pamoja na kikosi cha OFM wakiwataiti wanawke waliokuwa
wakijiuza.Ni aibu iliyoje! Tabia ya wanawake kujiuza kwa kisingizio cha
kusaka fedha kwa ajili ya Sikukuu ya Krismasi imewatokea puani wanawake
zaidi ya kumi akiwemo mke wa mtu baada ya kunaswa mawindoni na kutiwa
nguvuni.
Wanawake hao wakiwa chini ya ulinzi mkali. Awali, Kamanda wa OFM
mkoani hapa alipokea malalamiko lukuki kutoka kwa wananchi waishio
jirani na eneo hilo waliokuwa wakiwalalamikia wanawake hao kugeuza
vibanda vyao vya simu kuwa gesti na kuvitumia kufanyia ngono usiku na
kuzagaa kwa kondom kila sehemu
Hutopitwa na chochote na niko tayari kukupatia habari na matukio motomoto kupitia, kumekucha blog
No comments:
Post a Comment