Saturday, December 13, 2014

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KUMEKUCHA


 Wakazi wa Chumvini kata ya Chumbageni Tanga wakisubiri kuitwa majina yao ili kuingia ndani na kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa jana, watu wengi wamelalamika utaratibu wa kuitwa majina tofauti na mfumo uliozoeleka wa kupanga foleni.
Picha ya tatu chini hadi ya mwisho wakazi wa Chumbageni Tanga wakiwa katika mkusanyiko kusubiri kuitwa jina ili kuweza kuingia ndani kupiga kura wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa jana, watu wengi wameulalamikia mfumo huo na ule uliozoeleka wa kupanga foleni kutegemea mtu anavyowahi., ni kawaida kumekucha blog kukupa kila linalojiri pahala popote wakati wowote, usipitwe na habari fungua kumekucha blog kila wakati






No comments:

Post a Comment