Mhariri mtendaji mkuu wa kampuni ya Mwananchi Communication Ltd
(MCL), Bakari Machumu, akiwaonyesha magazeti ya Mwananchi na The Citizen
waandishi wa habari wa kampuni hiyo
dhamira ya kuyaboresha zaidi yalivyo
sasa wakati wa mafunzo yaliyoendeshwa na wahariri wa magazeti hayo kwa siku
tatu yaliyofanyika Arusha na kumalizika jana, pia Mkurugenzi wa blog hii, Salim Mohammed akiwa ni miongoni mwa washiriki
No comments:
Post a Comment