Jamaa kanywa energy drinks nane… Baada ya hapo ni habari…
Huyu aliwekewa pesa kiasi cha Naira
1,600 za Nigeria na kuambiwa iwapo angemaliza chupa nane za energy drink
angekuwa amejishindia kiasi hicho cha pesa kutoka kwa Chikwado Nchionu.
Elijah Nwankwo alipatwa
na umauti huo wakati akifanya jitihada za kushinda pesa hizo, ambapo
kifo chake kimethibitika kuwa kilitokana na kunywa kwa wingi kinywaji
hicho huko Nigeria.
Walioshuhudia wanasema baada ya kunywa
kinywaji hicho aliishiwa nguvu na kupoteza fahamu, baada ya kumfikisha
Hospital akawa ameshafariki.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog
No comments:
Post a Comment